Twins love
Senior Member
- Jan 27, 2022
- 114
- 160
Uzi mzuri huuHabari Wana jamvi ,naomba tupeane mawazo juu ya vyakula mbalimbali vya kupika Kwa wiki nzima yaani visijirudie rudie,
Utakula pilau Kila siku?
| Siku | asubuhi | mchana | usiku | ||
| Jumatatu | chai/juice+vitumbua | Ugali+mboga za majani+dagaa | ndizi nyama/samaki | ||
| Jumanne | chai/juice + mkate+ mayai | Ugali +nyama+ mboga za majani | wali maharage+
| ||
| Jumatano | chai/juice+kilichobaki Jana+ mkate | Ugali samaki+mboga za majani | makande | ||
| Alhamisi | chai/juice+ viazi vitamu | Ugali +bamia+nyanyachungu+dagaa | wali +njegere+matunda | ||
| Ijumaa | chai/juis +sambusa/mahamri | Ugali samaki+
| Ndizi mzuzu+ makange | ||
| Jumamosi | uji | Viazi mviringo+nyama ya jana+
|
| ||
| Jumapili | chai+bagia | pilau/biriyani nyama | limalizie pilau lako |
Tafuta nutritionist au nenda kwa dokta akushauri mlo mzuriHabari Wana jamvi,
Naomba tupeane mawazo juu ya vyakula mbalimbali vya kupika Kwa wiki nzima yaani visijirudie rudie,
Mimi huyu[emoji39]Kila jumapili [emoji4]
Ila dah..familia inayokula vizuri hivi...I tap into this blessing kwenye familia yangu.Nimejaribu kuwaza tu
Siku asubuhi mchana usiku Jumatatu chai/juice+vitumbua Ugali+mboga za majani+dagaa ndizi nyama/samaki Jumanne chai/juice + mkate+ mayai Ugali +nyama+ mboga za majani wali maharage+
matunda
mboga za majani+ Jumatano chai/juice+kilichobaki Jana+ mkate Ugali samaki+mboga za majani makande Alhamisi chai/juice+ viazi vitamu Ugali +bamia+nyanyachungu+dagaa wali +njegere+matunda Ijumaa chai/juis +sambusa/mahamri Ugali samaki+
mboga za majani Ndizi mzuzu+ makange Jumamosi uji Viazi mviringo+nyama ya jana+
mboga za majani
tambi nyama Jumapili chai+bagia pilau/biriyani nyama limalizie pilau lako
Ratiba nzuri ila hayo madude sijui kande ndo tunaita "mapure" hapana siyapendi.Nimejaribu kuwaza tu
Siku asubuhi mchana usiku Jumatatu chai/juice+vitumbua Ugali+mboga za majani+dagaa ndizi nyama/samaki Jumanne chai/juice + mkate+ mayai Ugali +nyama+ mboga za majani wali maharage+
matunda
mboga za majani+ Jumatano chai/juice+kilichobaki Jana+ mkate Ugali samaki+mboga za majani makande Alhamisi chai/juice+ viazi vitamu Ugali +bamia+nyanyachungu+dagaa wali +njegere+matunda Ijumaa chai/juis +sambusa/mahamri Ugali samaki+
mboga za majani Ndizi mzuzu+ makange Jumamosi uji Viazi mviringo+nyama ya jana+
mboga za majani
tambi nyama Jumapili chai+bagia pilau/biriyani nyama limalizie pilau lako
Mara moja moja kula chakula ambacho hukipendi ili ukimiss kile unachokipendaRatiba nzuri ila hayo madude sijui kande ndo tunaita "mapure" hapana siyapendi.
Hiyo menu inakuwa na chakula chake au maandishi tu?Mtafute malkia food insta Ana menu nzuri sana anaiuza kwa sh elfu 10
maandishi tuHiyo menu inakuwa na chakula chake au maandishi tu?
AiseeMtafute malkia food insta Ana menu nzuri sana anaiuza kwa sh elfu 10
My mom used to have a nice menu schedule ka hiyo.Ila dah..familia inayokula vizuri hivi...I tap into this blessing kwenye familia yangu.