Swali zuri sana.Yako iko wapi
MKUU TUMEKUPATA MUBASHARA KABISA๐๐๐๐๐Sister kama unaitaka ratiba yangu nakupa PM,iko too personal
Akikujibu unitag.Yako iko wapi
Wewe ratiba yako iko wapi mkuu ?Hii ndio maana halisi ya kuwa msanii wa Kimataifa,full booked!!View attachment 1166516
Ali Kiba ratiba yake ipo na haina show za ndani ya Tanzania hata moja. Show nyingi anafanyia nje ya Afrika. Sema hapendi kufanya show off mitandaoni.Weka na yakibakuli mkuu acha kupendelea wcb tu [emoji2]