Ratiba ya JF get together party 15/12/2018

kwani leo lini maana michango ya harusi nayo inanichanganya
 
Aisee Matangazo yalikuwa hot hot kuliko mrejesho..mwaka huu vipi? Waliotayari tufanye.
 
Nafasi bado zipo ili nifanye muamala huo wa 30k? Na itafanyikia wapi?
 
mtoa mada yuko kwa wazazi wake anakula faida mana bado haijaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…