uvivumwiko
Member
- Mar 22, 2010
- 20
- 1
hii hapa
ubarikiwe
Cant imagine hiyo tar 30 Oct Dar itawaka Moto. CHADEMA FOR LIFE
Kama hawampendi mgonjwa wao sorry mgombea wao wampeleke tena jangwani wakione.Hapo tatizo linaweza kuwa venue. Maana mifisadi CCM watang'ang'ania Jangwani, ambayo ni sehemu nzuri zaidi kuliko nyingine.
...Mfano Arusha hajafika Monduli...
A very clever Ratiba.. He will do a killing on the last week! DR SLAA for President 2010-2015