Uchaguzi 2020 Ratiba ya Kampeni za wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais

Uchaguzi 2020 Ratiba ya Kampeni za wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais

CCM tuu ndio makamu na rais wamegawanyika. wengine wanafuatana
 
Na hii ni kuonyesha kuwa CCM wana Akili, wamejipanga, wanafanya mambo Kisayansi na Kiuweledi na ndiyo maana watashinda mapema sana tu.
Hapana, ni JEURI YA KODI zetu Mkuu.
 
Kwenye sehemu za kile chama wangetuwekea na wasanii watakao kuwepo, maana ni muhimu zaidi kufahamu wapi kuna matamasha ya bure mazuri kwa sisi wanyonge, hatuna muda wa sera.
 
Na hii ni kuonyesha kuwa CCM wana Akili, wamejipanga, wanafanya mambo Kisayansi na Kiuweledi na ndiyo maana watashinda mapema sana tu.
Kumbe na wewe huwa unakurupuka eee?? Kwahiyo ulitaka wafanye kama ccm ndo waonekane wana akili?? Kila chama kinajua kitafanya fanyaje kampeni zake.
 



CCM mnatunyima raha bila ya hizi classic songs wakati wa uchaguzi.

Hao wasanii wenu sawa kwa kizazi kipya wengine tunataka kumsikia captain Komba.
 
Na hii ni kuonyesha kuwa CCM wana Akili, wamejipanga, wanafanya mambo Kisayansi na Kiuweledi na ndiyo maana watashinda mapema sana tu.

Bwahaaaa bwahaaaa, yaani nimecheka kwa nguvu mpaka mtoto wangu mdogo kaamka, eti ccm wana Akili! Kwani ccm watashinda?
Mtani kuna tofauti ya kushinda na kutangazwa mshindi.
 
Nyimbo za marehemu Komba aliondoka na chama yenyewe. Ndio wanaanua mwaka huu RIP.
 
Jamhuri ya muungano wa Tanzania Tume ya taifa ya uchaguzi

Ratiba ya kampeni za wagombea wa kiti cha rais na makamu wa rais
CCM kimekata pumzi kihoja, kwa msaada wa tume kinatafuta tu huruma za kina mama. Makada wametambua kuwa kuna maeneo mgombea wao hatakuwa tena na hoja za kuwaambia wananchi.

Kuna maeneo hawawezi kukuelewa unapowaletea simulizi zile zile za kila siku za sijui za ujenzi wa SGR, kuingia uchumi wa kati, vita dhidi ya ubeberu na nyingine zenye kufanana na hizo. Wafanyakazi na wakulima wamepigika sana kimaisha ndani ya miaka hii mitano iliyopita.

Mheshimiwa ana mengi ya kujibu kuhusu utekelezaji wa ilani iliyopita, kabla ya kuja kuahidi mambo mapya. Aliendekeza upendeleo wa kimajimbo, kwa hiyo anataka kukimbilia kule alikopeleka maendeleo kwa upendeleo.
 
Nawakumbusha tu Hashimu Rungwe leo yupo KIGOMA Uvinza kila kitu kitakuwepo sio lazima uje na ndizi au pilipili.
 
Back
Top Bottom