Ratiba ya kazi ya tume ya katiba itakayoundwa na jk

Ratiba ya kazi ya tume ya katiba itakayoundwa na jk

Mkare

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
504
Reaction score
79
ratiba.jpg

Sorry network ilikata... Haya ratiba hiyo hapo...!
 
Very true and nicely put> You seem to be a good career developer, heheeeeeeeee
 
tehe teh tehe kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiii kwii kwii....rtflol
 
Saa sita na nusu kuna ratiba ya usingizi, wasehau kuiweka au wameicha??
 
Um:msela:esahau mkuu jamaa alishawahi sema huwa anapenda kusikiliza BongoFlavor hembu itafutie ni muda gani huo!
 
Um:msela:esahau mkuu jamaa alishawahi sema huwa anapenda kusikiliza BongoFlavor hembu itafutie ni muda gani huo!

Ha ha ha... Hilo litakuwa ni swala mtambuka so atakuwa kwenye kila maandalizi ya lunch na wakati ana browse internet ndo anasikiliza na bongo flava...lol
 
Saa sita na nusu kuna ratiba ya usingizi, wasehau kuiweka au wameicha??

Tufanye saa saba cuz sita na nusu itakuwa bado hatujamaliza lunch, si unajua mambo ya buffet sio...
 
Back
Top Bottom