paul green
Member
- Jan 16, 2019
- 18
- 17
Huku hakuna upinzani,Yanga njia nyeupe kabisaRATIBA YA FA HATUA YA ROBO FAINAL
*ALLIANCE vs YANGA
*KAGERA SUGAR vs AZAM
*KMC vs AFRICAN LYON
*LIPUL vs SINGIDA UNITED
***
NUSU FAINAL
<*>LIPUL/SINGIDA UNITED vs ALIANCE/YANGA
<*>KMC/AFRICAN LYON vs KAGERA SUGER/AZAM
%%%
nani kubeba ASFC {FA CUP} hapo??? tiririsha utabiri wako hapa
Mtoto halali na hela,Bora Yanga tungepangwa na African Lyon aisee ila siyo wale wanafunzi wa Alliance! ile mechi iliyopita walitukamia sana. Lakini ushindi upo pale pale. Siku zote masikio hayazidi kichwa.
Nenda ukale kiganja huko
Mmh. Ya kweli haya Mtani?Kuna mazingira yametengenezwa hapo kwa yanga na azam kukutana fainali
Nionavyo ni Kocha Zahera kuongeza mbinu zaidi tupate matokeo mapema ili kujihakikishia nafasi na sio kusubiri mpaka jua la kuchwa.Bora Yanga tungepangwa na African Lyon aisee ila siyo wale wanafunzi wa Alliance! ile mechi iliyopita walitukamia sana. Lakini ushindi upo pale pale. Siku zote masikio hayazidi kichwa.
Nakazia. ππππ
Ila vinakazaga sanaMtoto halali na hela,
πππ anawakarahisha mikia tu huyo.Nenda ukale kiganja huko
Nakazia. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kaka nauliza tu jumamosi si ndio kesho eti?
Nipo nione zile amsha amsha zao zinaishia saa ngapi kesho.Ndio mamiii...wasifikiri wanacheza na wale midebwedo ya mwanzo,,hii js saoura ya sasa ni balaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo mtani fainali ni yanga vs azam utabiri wangu ukitimia njoo unipe cheo cha msoma nyota ππMmh. Ya kweli haya Mtani?
Sasa kama ndio timu zilizozidi uwezo katika hizo zingine unategemea nini Mtani.Ndiyo mtani fainali ni yanga vs azam utabiri wangu ukitimia njoo unipe cheo cha msoma nyota ππ