Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Sa iv mnachukua mbinu kupitia Alliance duhNionavyo ni Kocha Zahera kuongeza mbinu zaidi tupate matokeo mapema ili kujihakikishia nafasi na sio kusubiri mpaka jua la kuchwa.
Sijakuelewa hata Mtani?
Sijui mtasema nini Simba itakapo tinga Robo Fainali ya Mabingwa wa Afrika!Nakazia. 😀😀😀😀
Kaka nauliza tu jumamosi si ndio kesho eti?
Mpaka mtakapotinga hiyo robo ndio tutajua nini cha kusema.Sijui mtasema nini Simba itakapo tinga Robo Fainali ya Mabingwa wa Afrika!
Bahati nzuri Kocha wenu anajua ukweli!Mpaka mtakapotinga hiyo robo ndio tutajua nini cha kusema.
Hatukatai mbona Mkuu. Ila niseme ile yake ni kama ramli tu ambayo mwisho wa siku inaeza kuwavuruga mbaya.Bahati nzuri Kocha wenu anajua ukweli!
Hata wakaze vipi mtani hawawezi kutoboa gharama za kushiriki mashindano ya kimataifa hawataziweza labda KMC kidogo kwa sababu wao ni serikari.Sasa kama ndio timu zilizozidi uwezo katika hizo zingine unategemea nini Mtani.
Japo pia sijipi 100% kupita kirahisi sababu vitimu vidogo vinajua sana kukaza waeza zaiona dhaifu ila mwisho wa siku matokeo yakapatikana mwisho kabisa wa mchezo.
😁😁😁😀😀😀 anawakarahisha mikia tu huyo.
Acha aendelee kuwapa moyoHatukatai mbona Mkuu. Ila niseme ile yake ni kama ramli tu ambayo mwisho wa siku inaeza kuwavuruga mbaya.
Vinajitahidi ila sidhani kama game ijayo watasumbua kama ya ligiIla vinakazaga sana
Kawaida ya Ratiba huwa ina matukio, eneo la tukio, tarehe, na muda sasa huu uhari ulioandika hapa tuuite nini?RATIBA YA FA HATUA YA ROBO FAINAL
*ALLIANCE vs YANGA
*KAGERA SUGAR vs AZAM
*KMC vs AFRICAN LYON
*LIPUL vs SINGIDA UNITED
***
NUSU FAINAL
<*>LIPUL/SINGIDA UNITED vs ALIANCE/YANGA
<*>KMC/AFRICAN LYON vs KAGERA SUGER/AZAM
%%%
nani kubeba ASFC {FA CUP} hapo??? tiririsha utabiri wako hapa
Hahahaaa. Hatukatai wanaeza fika Quater final ila sio kwa asilimia zote.Acha aendelee kuwapa moyo
Group limekaa very tricky, as vita wakipata matokeo vs al ahaly game ya taifa atakufa mtuHahahaaa. Hatukatai wanaeza fika Quater final ila sio kwa asilimia zote.
Kwahyo hutaki zikutane?Kuna mazingira yametengenezwa hapo kwa yanga na azam kukutana fainali
mtatinga robo fainali ya ndotonìSijui mtasema nini Simba itakapo tinga Robo Fainali ya Mabingwa wa Afrika!
Hapana nilikuwa natoa mtazamo wangu tu mtani ambae unazidi kuwa fukara😂Kwahyo hutaki zikutane?