Kwa anayejua naomba anijuze tafadhali maana asubuhi kupitia TBC 1 nilimsikia mtangazaji anasema bunge la katiba litaanza kurushwa sa 8,lakini mpaka sasa sa 8:37 sioni chochote zaidi ya kipindi cha "This Week In Perspective"
Vipi wadau,ratiba imebadilishwa nini??
Naomba ufafanuzi kwa ajuae