Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Simba imebakisha mechi ngumu sana ukilinganisha na Yanga, Simba ikacheze ugenini na Namungo, imfuate Ihefu, imfuate Mtibwa, icheze na Yanga ambayo hatujaifunga tangu mwaka 2019, hatujacheza na Azam, wenzetu Yanga wanamfuata Prisons na Mbeya City na Singida, ni kichekesho kupiga makelele sisi mashabiki wa Simba kujiaminisha kuwa ubingwa upo, tulikosea kwenye upangaji wa ratiba na migogoro iliyokuwepo had tukaachia pointi, sasa hivi tucheze kwa kujifurahisha tu kwa kuwa nafasi ya 2 ni yetu maana Azam kashakufa 2 0 huko Dodoma na mchezaji wao kala red, bado kipind cha 2.
Hongera Yanga kwa ubingwa msimu wa 2022/23.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Hongera Yanga kwa ubingwa msimu wa 2022/23.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app