Ratiba ya Ligi imeipa tena ubingwa Yanga msimu huu wa pili mfululizo

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Simba imebakisha mechi ngumu sana ukilinganisha na Yanga, Simba ikacheze ugenini na Namungo, imfuate Ihefu, imfuate Mtibwa, icheze na Yanga ambayo hatujaifunga tangu mwaka 2019, hatujacheza na Azam, wenzetu Yanga wanamfuata Prisons na Mbeya City na Singida, ni kichekesho kupiga makelele sisi mashabiki wa Simba kujiaminisha kuwa ubingwa upo, tulikosea kwenye upangaji wa ratiba na migogoro iliyokuwepo had tukaachia pointi, sasa hivi tucheze kwa kujifurahisha tu kwa kuwa nafasi ya 2 ni yetu maana Azam kashakufa 2 0 huko Dodoma na mchezaji wao kala red, bado kipind cha 2.

Hongera Yanga kwa ubingwa msimu wa 2022/23.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Bado mapema
 
Yanga atazidiwa magoli na simba, point sawa
 
Kwa hiyo mnaiogopa Ihefu, Wakati tulipofungwa nao mlikua mnacheka, Sasa hv mnaanza kuweweseka
 
kwahiyo simba alivyochukua misimu minne mfululizo alikuwa ameandaliwa si ndio
 
Kwani hizo timu ambazo Simba inazifuata Yanga alicheza nao kwa mkapa mechi zote mbili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…