Ratiba ya ligi ipo sawasawa kweli?

Ratiba ya ligi ipo sawasawa kweli?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Ligi yetu imeanza j4 tarehe 15/08, leo timu zinacheza mechi ya pili cha kushangaza pana timu hazijacheza hata mechi moja ya ligi, hii inakaaje.
Natambua tuna timu nne zinatuwkilisha kimataifa na mbili zimecheza mechi tayari kwa maana ya Azam na Simba, sasa Yanga na Singida Big Stars vipi?
 
Unauliza swali halafu unajijibu
Ligi yetu imeanza j4 tarehe 15/08, leo timu zinacheza mechi ya pili cha kushangaza pana timu hazijacheza hata mechi moja ya ligi, hii inakaaje.
Natambua tuna timu nne zinatuwkilisha kimataifa na mbili zimecheza mechi tayari kwa maana ya Azam na Simba, sasa Yanga na Singida Big Stars vipi?
 
Azam ana game ya kimataifa away kacheza Mchezaji wake ila Yanga na Singida wanacheza hapa hapa hawajacheza [emoji23][emoji23] halafu Hao Hao mwaka jana walikuwa anashu paza shingo hakuna viporo [emoji23][emoji23]
 
Wabongo punguzeni kulalamikia vitu visivyo na kichwa wala miguu.
Yanga acheni kuogopa mechi, mnakuwa kama si timu ya mpira bwana. Yani mnataka muwe mnacheza mechi moja kwa wiki? Mkichanganyiwa tu mechi mbili za mashindano tofauti mnachanganyikiwa, mnaomba mechi ziahirishwe. Hadi hao wasomali mnawaogopa?
 
Kwani mwisho wa msimu kuna timu itakuwa imecheza michezo mingi tofauti na nyingine ?
 
Back
Top Bottom