Ligi yetu imeanza j4 tarehe 15/08, leo timu zinacheza mechi ya pili cha kushangaza pana timu hazijacheza hata mechi moja ya ligi, hii inakaaje.
Natambua tuna timu nne zinatuwkilisha kimataifa na mbili zimecheza mechi tayari kwa maana ya Azam na Simba, sasa Yanga na Singida Big Stars vipi?
Yanga acheni kuogopa mechi, mnakuwa kama si timu ya mpira bwana. Yani mnataka muwe mnacheza mechi moja kwa wiki? Mkichanganyiwa tu mechi mbili za mashindano tofauti mnachanganyikiwa, mnaomba mechi ziahirishwe. Hadi hao wasomali mnawaogopa?Wabongo punguzeni kulalamikia vitu visivyo na kichwa wala miguu.
Siyo kweli. Mbona tumeweza kuwakuwadia waarabu Bandari zetu zote za Tanganyika?Ukiwa na akili timamu mambo tunayofanya WATANZANIA hayawezi yakakusumbua Kichwa.
HAKUNA HATA JAMBO MOJA TUNALO LIWEZA.
HATUWEZI KITU CHOCHOTE KWA 60 YEARS.
Kwa hiyo unalalamika kwa niaba yaoYa Yanga siyasemi ila kagera kaumizwa sana imagine unacheza kigoma halafu unakuja kucheza mbalari
kwahio wee pung huna unacho weza?unaweza kufirw tuu?Ukiwa na akili timamu mambo tunayofanya WATANZANIA hayawezi yakakusumbua Kichwa.
HAKUNA HATA JAMBO MOJA TUNALO LIWEZA.
HATUWEZI KITU CHOCHOTE KWA 60 YEARS.
Mambo mengi ya Kibongo ukiyachukulia serious sana, utaumia bureUkiwa na akili timamu mambo tunayofanya WATANZANIA hayawezi yakakusumbua Kichwa.
HAKUNA HATA JAMBO MOJA TUNALO LIWEZA.
HATUWEZI KITU CHOCHOTE KWA 60 YEARS.
Ukweli usemwe na uwe waziHapa umezunguuka sana
Yanga inakuumiza
Mpira wa bongo kichefu chefuNa ni Yanga hao hao miaka fulani walikuwa wanalalamikia viporo vya Simba.
Unauliza swali halafu unajijibu