GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . wapo Busy na uchaguzi. Ngoja wamalize uchaguzi ndio wapange ratibaYa kwetu VPL Tanzania TFF wanategemea kuitoa rasmi tarehe 25 August 2017 wakati Ligi itaanza rasmi tarehe 26 August 2017. Shikamooni Wazungu! Mzungu Mzungu tu Kudadadeki.
hii itakua arsenal si bure haha!Naona kuna timu kubwa ina dalili ya kushuka daraja msimu huu baada ya kumuongezea mkataba kocha wao mpendwa
Kiukweli hizi timu zahitaji moyomanchester united haina tofauti na Simba
Kama ndicho kinacho shindaniwa hapo sawaLabda cha chai
Hizo timu ngumu wengine hawachezi Nazo????Mbona Chelsea tumewekewa timu ngumu?
Mwanzoni hapanaHizo timu ngumu wengine hawachezi Nazo????
Sina haja ya kujibu kwani umeshajijibu mwenyeweNa nani alikuwa na mechi na michuano mingi zaidi? Kabla hujanijibu hilo angalia pia msimu kabla ya hapo kati ya Chelsea na Leicester kwa mukhtadha huohuo!