Sitachoka
JF-Expert Member
- Nov 17, 2011
- 3,030
- 1,306
Habari, JF
Yakiwa yamesalia masaa machache watanzania wakiongozwa na muungano wa vyama vitatu vya upinzani nchini (CHADEMA, NCCR-MAGEUZI, NA CUF) Kuandamana nchi nzima kupinga Rais kutia saini mswada wa sheria ya marekebisho ya katiba mpya, kumekuwepo na hali ya sintofahamu kama maandamano hayo yatakuwepo kama yalivyotangazwa katika mkutano wa hadhara viwanja vya jangwani au hayatakuwepo kutokana na viongozi hao wakuu wa vyama hivyo kuombwa na Rais kukaa meza moja ya mazungumzo(bungeni) ili kupata muafaka wa kitaifa,
~Wananchi tunataka kujua je, maandamano yako pale pale?
~na kama yapo palepale ratiba ikoje kila mikoa?
~na kama yameahirishwa tuambiwa na kwanini?
naomba kuwasilisha