Ratiba ya mazishi ya marehemu
LANGA KILEO itakuwa kama
ifuatavyo
. Msiba upo nyumbani
kwa wazazi wa LANGA ambapo ni
maeneo ya MIKOCHENI nyuma ya
hospitali ya AAR
.
Mwili wa marehemu utaagwa siku
ya Jumatatu, Saa 7 mchana na
baada ya hapo mwili utaelekea
makaburini Kinondoni kwa mazishi
ambapo imepangwa itakuwa ni
majira ya saa kumi alasiri
R.I.P Langa Kileo