Tumpara Dudu
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 663
- 611
Mikoba/mikoa?Wakuu,mm ni mfanyabiashara mdogo na biashara zangu Huwa mara nyingi natia Dar nampeleka Kijiji Cha Komkonga wilaya ya Handeni Mkoba wa Tanga. Sasa nataka kupanua soko nihamie mikoa mingine kwakua Komkonga Nina wateja wa oda wa uhakika.
Naomba Kila mmoja wenu anisaidie ratiba ya MINADA ya Mkoba alipo.
Target yangu kwasasa nielekee Manyoni na Tabora. Ndoto yangu ni kufikisha huduma zangu nchi nzima niwe na wateja wa oda.
Ahsanteni kwa kusoma Uzi wangu nataraji msaada wenu uliyotukuka. Mbarikiwe
Ahsante mkuu. Nimekusudia mikoa ila touch si unazielewa mwenyewe zilivyo. Sasa mkuu Jumanne mnada unakuwa mtaa Gani? Mm ni mchuuzi wa nguo za mitumba za grade A. Nisaidie jina la mtaa kwa siku ya J4Mikoba/mikoa?
Anyways nilipo(mwz)minada ni daily, kila siku minada ipo ila kila siku ina mtaa wake kwaio minada inahama kulingana na siku! Mfano ijumaa National n.k
Jumanne ni Igogo-mchafukoge, sema saiz kuna mvua sana utatesekaAhsante mkuu. Nimekusudia mikoa ila touch si unazielewa mwenyewe zilivyo. Sasa mkuu Jumanne mnada unakuwa mtaa Gani? Mm ni mchuuzi wa nguo za mitumba za grade A. Nisaidie jina la mtaa kwa siku ya J4
Wasalimie maboto PlazaMikoba/mikoa?
Anyways nilipo(mwz)minada ni daily, kila siku minada ipo ila kila siku ina mtaa wake kwaio minada inahama kulingana na siku! Mfano ijumaa National n.k
Ntawasalimia mvua zikikatašWasalimie maboto Plaza
Ahsante kwa taarifa mkuuJumanne ni Igogo-mchafukoge, sema saiz kuna mvua sana utateseka