Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kulinganisha elimu ya Tanzania na Kenya, ya Kenya ipo vizuri.Sioni tofauti ya msingi. Seychelles na Mauritius zinasifika kwa kuwa na elimu Bora Africa, check mitaala yao.
Huwezi kulinganisha elimu ya Tanzania na Kenya, ya Kenya ipo vizuri.
Baada ya akina hao Mauritius wanaofuata ndio group la nchi ambazo na
Kenya ipo.
Kwenye matokeo ya elimu yao kwenye jamii na maisha kwa ujumlaUbora wao unaonekana vp kwenye hiyo ratiba?
Kwenye matokeo ya elimu yao kwenye jamii na maisha kwa ujumla
Hata hiyo ratiba yao imesheheni practicals na masomo tofauti tofauti sio kama hiyo ya TZMleta mada kasema ratiba inathibitisha hilo, hapo ndo swali langu limejikita. Mambo ya huko nje is another topic.
Hata hiyo ratiba yao imesheheni practicals na masomo tofauti tofauti sio kama hiyo ya TZ
Waliojisajili JF kutukana kama jingalao (kutukana ni kujidhalilisha na hadhi yako inashuka tu hata kama hatukuoni - hata kama kila tusi na kejeli unalipwa), wanaohubiri kuondoa zero na four, kupata one kali n.k hawaoni hilo.Hata hiyo ratiba yao imesheheni practicals na masomo tofauti tofauti sio kama hiyo ya TZ
Inasikitisha sana mkuuKenya kwenye elimu ya msingi na sekondari wametuacha mbali toka zamani.
Tazama kila mwaka best student wa kenya wangapi wanapewa scholarships na ivy league university eg Havard, Yale kisha linganisha na best student wetu wa necta A level wenye division 1 pts 3 wanavyoishia udsm kugombana na bodi ya mikopo