Mindyou JF-Expert Member Joined Sep 2, 2024 Posts 1,869 Reaction score 4,877 Jan 20, 2025 #1 Wakuu, Ni rasmi sasa imebaki miezi 4 mpaka wanafunzi wa kidato cha 6 kuanza mitihani yao ya mwisho ya NECTA. Kulingana na ratiba hii, mitihani hii itaanza Mei 5, 2025 na itaisha Mei 25, 2025
Wakuu, Ni rasmi sasa imebaki miezi 4 mpaka wanafunzi wa kidato cha 6 kuanza mitihani yao ya mwisho ya NECTA. Kulingana na ratiba hii, mitihani hii itaanza Mei 5, 2025 na itaisha Mei 25, 2025
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Jan 20, 2025 #2 Kila la kheri kwao
M Mzee Ngonyani JF-Expert Member Joined Dec 16, 2022 Posts 1,049 Reaction score 2,242 Jan 20, 2025 #3 Shadow7 said: Kila la kheri kwao Click to expand... Sio sita ni miezi mitatu tu, wapili watatu na wanne
Shadow7 said: Kila la kheri kwao Click to expand... Sio sita ni miezi mitatu tu, wapili watatu na wanne
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,216 Reaction score 26,225 Jan 20, 2025 #4 Mzee Ngonyani said: Sio sita ni miezi mitatu tu, wapili watatu na wanne Click to expand... Uko sahihi,Mungu awapiganie...
Mzee Ngonyani said: Sio sita ni miezi mitatu tu, wapili watatu na wanne Click to expand... Uko sahihi,Mungu awapiganie...
The ice breaker JF-Expert Member Joined Apr 20, 2023 Posts 880 Reaction score 1,985 Jan 20, 2025 #5 Ratiba inanikumbusha 2006 Azania
Z ze jj JF-Expert Member Joined Aug 20, 2012 Posts 497 Reaction score 592 Jan 20, 2025 #6 Matokeo ya form four yanatoka lini