Ratiba ya Mkutano wa Bunge la bajeti unaoanza Machi 30

Ratiba ya Mkutano wa Bunge la bajeti unaoanza Machi 30

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, litafanya mkutano wa Bajeti kuanzia Machi 30 hadi Juni 30.

Katika Siku ya Kwanza ya Mkutano, Bunge litatambua Mchango wa Rais wa Tano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli na kuenzi maisha yake.

Pia wameazimia kumpongeza Rais wa Sita wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
 

Attachments

Bado na Bunge nalo linataka kuendelea kumuenzi marehemu! Wamekosa hoja za msingi za kujadili?
 
Bunge linaedeelea na utaratibu wake
Liliwekwa mtu kati
 
Sina Imani kabisa na bunge la Ndugai la awamu hii. Hawana jipya kabisa. Naomba tu wasihamishe yale mapambio ya kusifu na kuabudu toka kwa mwendazake hadi kwa mjazake Samia Suluhu Hassan
 
Eti bunge litaendelea kumuenzi magufuli kwa lipi alilolifanya zaidi ya kufuja mali za watanzania na kukabidhi madaraka kwa watu wezi
 
Back
Top Bottom