Analogia Malenga JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,108 Reaction score 10,191 Mar 30, 2021 #1 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, litafanya mkutano wa Bajeti kuanzia Machi 30 hadi Juni 30. Katika Siku ya Kwanza ya Mkutano, Bunge litatambua Mchango wa Rais wa Tano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli na kuenzi maisha yake. Pia wameazimia kumpongeza Rais wa Sita wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Attachments RATIBA MKUTANO WA TATU.pdf RATIBA MKUTANO WA TATU.pdf 95.5 KB · Views: 11
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, litafanya mkutano wa Bajeti kuanzia Machi 30 hadi Juni 30. Katika Siku ya Kwanza ya Mkutano, Bunge litatambua Mchango wa Rais wa Tano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli na kuenzi maisha yake. Pia wameazimia kumpongeza Rais wa Sita wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
nagG JF-Expert Member Joined Oct 26, 2015 Posts 282 Reaction score 262 Mar 30, 2021 #2 Hizi bei elekezi za mb wanazichukuliaje au ndio tutaisoma namba?
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Mar 30, 2021 #3 Bado na Bunge nalo linataka kuendelea kumuenzi marehemu! Wamekosa hoja za msingi za kujadili?
balimar JF-Expert Member Joined Sep 18, 2015 Posts 7,743 Reaction score 13,657 Mar 30, 2021 #4 Bunge linaedeelea na utaratibu wake Liliwekwa mtu kati
J wizzy JF-Expert Member Joined Sep 2, 2016 Posts 459 Reaction score 536 Mar 30, 2021 #5 Tate Mkuu said: Bado na Bunge nalo linataka kuendelea kumuenzi marehemu! Wamekosa hoja za msingi za kujadili? Click to expand... Mkuu una wivu sana.
Tate Mkuu said: Bado na Bunge nalo linataka kuendelea kumuenzi marehemu! Wamekosa hoja za msingi za kujadili? Click to expand... Mkuu una wivu sana.
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Mar 30, 2021 #6 Wakumbushe kuwa Serikali iliyopita itakua mfano wa kuigwa kwa ufisadi
K Kihava JF-Expert Member Joined May 23, 2016 Posts 4,815 Reaction score 4,157 Mar 30, 2021 #7 Sina Imani kabisa na bunge la Ndugai la awamu hii. Hawana jipya kabisa. Naomba tu wasihamishe yale mapambio ya kusifu na kuabudu toka kwa mwendazake hadi kwa mjazake Samia Suluhu Hassan
Sina Imani kabisa na bunge la Ndugai la awamu hii. Hawana jipya kabisa. Naomba tu wasihamishe yale mapambio ya kusifu na kuabudu toka kwa mwendazake hadi kwa mjazake Samia Suluhu Hassan
Kibwengo JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 6,826 Reaction score 5,302 Mar 30, 2021 #8 Mi5 tena
JOESKY JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 816 Reaction score 2,034 Mar 30, 2021 #9 Eti bunge litaendelea kumuenzi magufuli kwa lipi alilolifanya zaidi ya kufuja mali za watanzania na kukabidhi madaraka kwa watu wezi
Eti bunge litaendelea kumuenzi magufuli kwa lipi alilolifanya zaidi ya kufuja mali za watanzania na kukabidhi madaraka kwa watu wezi
P pye Chang shen JF-Expert Member Joined Jul 11, 2016 Posts 11,422 Reaction score 6,108 Mar 30, 2021 #10 Litakua live?