KERO Ratiba ya Ndege za ATCL kutoka Comoros zinabadilishwa kama Daladala

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
  • Tags Tags
    atcl
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Nina kero tena kubwa hasa, hizi ndege zetu Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) zinazofanya ruti ya kwenda Comoros, yaani ni mfano wa daladala, unakata ticket kwa Shilingi Milioni moja sio mchezo, unaambiwa reporting time Saa 3:00 Asubuhi.

Unajikuta ukiwa na hekaheka za kujitayarisha unatumiwa meseji reporting imebadilika ni Saa 8:00 Mchana.

Tumefika Saa 7:30 Mchana tumeingia tukaambiwa ndege itaondoka Saa 8:00 Mchana, ajabu muda wa kuondoka unakuwa Saa 11:00 jioni.

Tumeingia Dar es Salaam Saa mbili kasoro, sasa hii ndege au daladala Chanika posta? Kero na aibu kubwa, hii si mara ya kwanza, naona sasa inaanza kuwa mazoea ndio maana nimefikia hatua ya kuandika hapa.
 
Hili shirika tunapoelekea litakufa kama zamani, no wonder CAG alisema linajiendesha kwa hasara
 
Nina kero tena kubwa hasa, hizi ndege zetu Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) zinazofanya ruti ya kwenda Comoros, yaani ni mfano wa daladala, unakata ticket kwa Shilingi Milioni moja sio mchezo, unaambiwa reporting time Saa 3:00 Asubuhi.

Unajikuta ukiwa na hekaheka za kujitayarisha unatumiwa meseji reporting imebadilika ni Saa 8:00 Mchana.

Tumefika Saa 7:30 Mchana tumeingia tukaambiwa ndege itaondoka Saa 8:00 Mchana, ajabu muda wa kuondoka unakuwa Saa 11:00 jioni.

Tumeingia Dar es Salaam Saa mbili kasoro, sasa hii ndege au daladala Chanika posta? Kero na aibu kubwa, hii si mara ya kwanza, naona sasa inaanza kuwa mazoea ndio maana nimefikia hatua ya kuandika hapa.
Abiria ni wachache shirika Dogo hatuwezi kuua Tena vumilia
 
ATCL=Any Time Cancelled Limited.
 
Raia wa mbagala mnapenda sana kulalamika mpaka kwenye ndege
 
Nina kero tena kubwa hasa, hizi ndege zetu Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) zinazofanya ruti ya kwenda Comoros, yaani ni mfano wa daladala, unakata ticket kwa Shilingi Milioni moja sio mchezo, unaambiwa reporting time Saa 3:00 Asubuhi.

Unajikuta ukiwa na hekaheka za kujitayarisha unatumiwa meseji reporting imebadilika ni Saa 8:00 Mchana.

Tumefika Saa 7:30 Mchana tumeingia tukaambiwa ndege itaondoka Saa 8:00 Mchana, ajabu muda wa kuondoka unakuwa Saa 11:00 jioni.

Tumeingia Dar es Salaam Saa mbili kasoro, sasa hii ndege au daladala Chanika posta? Kero na aibu kubwa, hii si mara ya kwanza, naona sasa inaanza kuwa mazoea ndio maana nimefikia hatua ya kuandika hapa.
Enzi za Dikteta Magufuli (Lee Kuan Yew wa Tanzania) hakukuwa na upuuzi huo.
 
Back
Top Bottom