Aeronautical
JF-Expert Member
- Jun 19, 2019
- 217
- 396
Madrid anaenda kumalizia second leg, first leg alifungwa 2 nil kama nakumbuka vizuri.Sielewi kwanini kila mtu ana assume kuwa Real Madrid tayari kishatoka. Wakat bado kuna second leg hatujacheza.
Atalanta hao nusu fainali
Man city kwa sasa wana hasira yani ukikutana nae sasa hivi ni hatari.Sielewi kwanini kila mtu ana assume kuwa Real Madrid tayari kishatoka. Wakat bado kuna second leg hatujacheza.
Nawashangaa sana hawa jamaa,hawataamini macho yao na vile jinsi ile lockdown ya Corona ilivyotusaidia wataona moto wetu.Sielewi kwanini kila mtu ana assume kuwa Real Madrid tayari kishatoka. Wakat bado kuna second leg hatujacheza.
Madrid mna hali tete cause mlipigwa nyumbaniSielewi kwanini kila mtu ana assume kuwa Real Madrid tayari kishatoka. Wakat bado kuna second leg hatujacheza.
Naona psg safari imewadia
mapema tuGasperini atafanya yake au sio
mapema tu
Atalanta imekuwa timu yenye safu bora sana ya ushambuliaji, ukiingia hovyo hovyo wanakupiga magori mengi huku wakikupa nafasi nawewe umpige kama unaweza. Juve leo akipoteza na akipoteza tena mechi inafuata dhidi ya lazio na mechi moja nyingine zaidi basi Atalanta anaweza akachukua ubingwa wa Serie endapo watashinda mechi zote zilizosalia.Tena leo anakipiga na juventus...hii itakuwa bonge la game. Amefanya kazi nzuri sana pale atalanta yaani i just love watching that team play.
Atalanta imekuwa timu yenye safu bora sana ya ushambuliaji, ukiingia hovyo hovyo wanakupiga magori mengi huku wakikupa nafasi nawewe umpige kama unaweza. Juve leo akipoteza na akipoteza tena mechi inafuata dhidi ya lazio na mechi moja nyingine zaidi basi Atalanta anaweza akachukua ubingwa wa Serie endapo watashinda mechi zote zilizosalia.
X2 and 2+Tena leo anakipiga na juventus...hii itakuwa bonge la game. Amefanya kazi nzuri sana pale atalanta yaani i just love watching that team play.