Ratiba ya Simba katika msimu wa VPL 2015/2016

Ratiba ya Simba katika msimu wa VPL 2015/2016

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Kama Bodi ya Ligi hawatapangua ratiba, Ifuatayo ni ratiba ya Simba S.C ambao ni mabingwa wanaosubiri kutangazwa.

attachment.php

Japo msimu wa 2015/2016 utakua ni sawa na kumsukuma mlevi kwa upande wetu.. nilichokigundua ni kua 26/09, 07/11, 12/12 na 16/04 zitakuwa ni siku za FURAHA KUU kwa mashabiki wa Simba S.C dunia mzima.

Na 12/09/2015 ifike mapema.
 
Attachments

  • 1441692766359.jpg
    1441692766359.jpg
    53.7 KB · Views: 310
Nilichogundua ni kuwa after 7 games simba atakuwa na point 5 tu!!!!!!!!!
3 kutoka Young,1 kutoka African Sport na Nyingine 1 kutoka Kagera Sugar.
 
Nilichogundua ni kuwa after 7 games simba atakuwa na point 5 tu!!!!!!!!!
3 kutoka Young,1 kutoka African Sport na Nyingine 1 kutoka Kagera Sugar.

😀😀😀.. Naheshimu ugunduzi wako.
 
Back
Top Bottom