Kama Bodi ya Ligi hawatapangua ratiba, Ifuatayo ni ratiba ya Simba S.C ambao ni mabingwa wanaosubiri kutangazwa.
Japo msimu wa 2015/2016 utakua ni sawa na kumsukuma mlevi kwa upande wetu.. nilichokigundua ni kua 26/09, 07/11, 12/12 na 16/04 zitakuwa ni siku za FURAHA KUU kwa mashabiki wa Simba S.C dunia mzima.