Pangaea JF-Expert Member Joined Jun 14, 2012 Posts 202 Reaction score 41 Dec 6, 2012 #1 Kwa wana jamvi mliopo Arusha mjini, kama kuna mwenye taarifa kamili na ratiba ya hii tume ya kukusanya maoni ya katiba tafadhali atuwekee hapa. Nimejaribu kupitia mbao za matangazo sijaona chochote.
Kwa wana jamvi mliopo Arusha mjini, kama kuna mwenye taarifa kamili na ratiba ya hii tume ya kukusanya maoni ya katiba tafadhali atuwekee hapa. Nimejaribu kupitia mbao za matangazo sijaona chochote.