Ratiba ya ue ya udom

georgei

Senior Member
Joined
Oct 14, 2009
Posts
110
Reaction score
8
Nina shida ya kujua ratiba ya UE ya UDOM ilio anza juzi jumatatu (4feb 2013)...nimeingia kwenye website yao naona hawajaweka nakutana na message "website is under maintanance"
 
Unatafuta ratiba ya nini! Maana kama ni mwanafunzi ratiba imebandikwa kwenye notes body karibu kila block
 
Umedanganywa nini tarehe ya ue nenda UDOM na sasa hivi Kumbuka kale ka wimbo ka ROMA Mkatoliki......Wabunge wanadai posho...................
 
ka demu kako kamekudanganya nini?
 
Acha kwenda chako ni chako kuvizia miguu na vichwa vya kuku kazana kujisomea.
 
mara zote kabla ya kufanya maamuzi ya mwisho fikiria madhara ya maamuzi hayo baadae.So nenda chimbo ucje supp.
 
:A S angry:HIVI NINYI UDOM MBONA HAMJIESHIMU. SI MUULIZANE RATIBA KWENYE FB CHAT ZENU? MPAKA CC TUJUE MMEANZA UE?
 
wameanza tare 4 wanamaliza kumi na nne mkuu kwa undergratuate
 
:A S angry:HIVI NINYI UDOM MBONA HAMJIESHIMU. SI MUULIZANE RATIBA KWENYE FB CHAT ZENU? MPAKA CC TUJUE MMEANZA UE?

we inakuhusu nini nan kakwambia u comment.....jipange dogo technololia ya mawasiliano kaz yake nn.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…