DSE Tanzania Member Joined Sep 20, 2013 Posts 27 Reaction score 10 Sep 30, 2013 #1 Week ndio inaanza, Usikose kuangalia mwendelezo wa vipindi vya "WEKEZA INALIPA" kwenye TV na Radio. RATIBA. TBC1: Wednesday: 19:00-19:30 TBC Taifa: Wednesday: 19:30-20:00 ITV: Thursday: 18:30-19:00 RADIO ONE: Thursday: 17:30-18:00 STAR TV: Sunday: 15:00-15:30 RADIO FREE AFRICA: Sunday: 15:15-15:45 Vile vile unaweza kuangalia YouTube Channel ya DSE kwa vipindi hivyo hivyo. dsetanzania - YouTube
Week ndio inaanza, Usikose kuangalia mwendelezo wa vipindi vya "WEKEZA INALIPA" kwenye TV na Radio. RATIBA. TBC1: Wednesday: 19:00-19:30 TBC Taifa: Wednesday: 19:30-20:00 ITV: Thursday: 18:30-19:00 RADIO ONE: Thursday: 17:30-18:00 STAR TV: Sunday: 15:00-15:30 RADIO FREE AFRICA: Sunday: 15:15-15:45 Vile vile unaweza kuangalia YouTube Channel ya DSE kwa vipindi hivyo hivyo. dsetanzania - YouTube
Obama wa Bongo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 5,431 Reaction score 4,925 Sep 30, 2013 #2 @dse naomba muwasiliane na moderators muwe na sticky special thread kuhusu bei za hisa
DSE Tanzania Member Joined Sep 20, 2013 Posts 27 Reaction score 10 Sep 30, 2013 Thread starter #3 obama wa bongo said: @dse naomba muwasiliane na moderators muwe na sticky special thread kuhusu bei za hisa Click to expand... Tunalifuatilia kwa makini pendekezo lako, tutajibu. Kwa sasa unaweza kupata bei moja kwa moja kutoka tovuti ya DSE: DSE: Dar es Salaam Stock Exchange
obama wa bongo said: @dse naomba muwasiliane na moderators muwe na sticky special thread kuhusu bei za hisa Click to expand... Tunalifuatilia kwa makini pendekezo lako, tutajibu. Kwa sasa unaweza kupata bei moja kwa moja kutoka tovuti ya DSE: DSE: Dar es Salaam Stock Exchange