Ratiba ya vipindi ya TBC1

Ratiba ya vipindi ya TBC1

Quemu

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2007
Posts
984
Reaction score
133
Natafuta ratiba ya vipindi ya TBC1. Ratiba ya wiki mzima, kutoka saa 12 asubuhi mpaka saa 6 usiku.

Kwa anayejua hiyo ratiba, tafadhali naomba msaada.

Natanguliza Shukrani~
 
Hivi hawanaga website? shame Tido na susan Mungi na exposure yenu majuu bado tu?
 
Hivi hawanaga website? shame Tido na susan Mungi na exposure yenu majuu bado tu?

Hata sijui kama wana website. Kama kuna mtu anajua website yao, basi atakuwa amesaidia.
 
nafikiri hawana, namimi nimeshaitafuta sana. kuna kipindi ratiba yao ilikuwepo Welcome to JumpTV / NeuLion Entertainment na pia walikuwa wanaonekana live. lakini naona walishajiondoa.

Mkuu heshima mbele, mkubwa usifikiri, hawa jamaa HAWANA WEBSITE. Kweli sasa ndio nimekubali kwamba unaweza kutembea halafu usielimike. Kuelimika sio darasani tuu. Kuhusu suala la ratiba nafikiri niliiona kwenye Moja ya Magazeti acha niangalie mkubwa halafu nitakutaarifu.
 
Back
Top Bottom