nafikiri hawana, namimi nimeshaitafuta sana. kuna kipindi ratiba yao ilikuwepo Welcome to JumpTV / NeuLion Entertainment na pia walikuwa wanaonekana live. lakini naona walishajiondoa.
nafikiri hawana, namimi nimeshaitafuta sana. kuna kipindi ratiba yao ilikuwepo Welcome to JumpTV / NeuLion Entertainment na pia walikuwa wanaonekana live. lakini naona walishajiondoa.
Mkuu heshima mbele, mkubwa usifikiri, hawa jamaa HAWANA WEBSITE. Kweli sasa ndio nimekubali kwamba unaweza kutembea halafu usielimike. Kuelimika sio darasani tuu. Kuhusu suala la ratiba nafikiri niliiona kwenye Moja ya Magazeti acha niangalie mkubwa halafu nitakutaarifu.