Ratiba ya Ziara ya Mbunge wa Ludewa, Joseph Kamonga jimboni kwake

Ratiba ya Ziara ya Mbunge wa Ludewa, Joseph Kamonga jimboni kwake

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
RATIBA YA ZIARA YA MBUNGE WA LUDEWA MHE. JOSEPH KAMONGA JIMBONI KWAKE.

Mbunge wa Jimbo la Ludewa Mkoani Njombe Joseph Kamonga atakuwa na ziara ya Wiki 1 kwenye Kata 7 Jimboni kwake Ludewa kuanzia Ijumaa hii Agosti 12, 2022 hadi Alhamisi Wiki ijayo Agosti 18, 2022.

Itakuwa ni ziara ya kutoa mrejesho wa aliyoyafanya Bungeni, kuhamasisha Sensa na kuhamasisha maendeleo.

#KaziInaendelea
#CCMImara

FB_IMG_1660115955708.jpg
 
Back
Top Bottom