Ratiba yako ya kwenda 'Site' ni ipi?

Ona muongo mwingine huyu! [emoji1787][emoji1787]
 
WEWE NI MUONGO.
 
Shida kwa watu tulio wengi ni kutokuwa na Cashflow ambayo ni Stable, ndio maana tunatumia njia ya kusimamia wenyewe na kutoa fedha wenyewe pale ambapo unalipa material ya ujenzi na labour charge. Kama una stable cashflow unaajiri msimamizi, wewe ni kwenda kuangalia hatua za ujenzi zilizofikiwa kila mwisho wa wiki. Wasimamizi hawa wala hawalipwi fedha nyingi. Ili usiibiwe kwenye material ya ujenzi, unatakiwa kumtafuta Mtaalam wa kukutengezea Schedule of Material. Hivyo, material ya ujenzi yanapoisha unafanya rejea kwenye Schedule of Material na kuagiza mengine.
 
Mmeacha ule mchezo wenu wa kuikata Tape Measure. But just joking!
 
Usijidanganye kwenda site baada ya wiki utakuta madudu mzeya.
Hawa mafundi wetu ni kukaa nao benet tuu yaani ni bumper to bumper.

Tatizo ya mafundi wengi ni kwamba wao wanataka kumaliza kazi wasepe. Hawataki kufikiri. Anza wewe mwenyewe kufikiria changamoto za kila hatua kabla fundi hajaanza kujenga maana wao hawafikiri kabisaa
 
Tatizo ni kwamba unaweza ukanunua material vizuri mfano sehemu kunapotakiwa kuwekwa nondo 3 wataweka moja ili zingine wauze,sehemu ya kuweka kokoto wataweka vipande vidogo vidogo vya tofauti ili kokoto wakauze,utajua hujui
 
Kwa Engineer ambaye ni Professional hivyo vitu havipo Mtani Wangu!
 
Mafundi wakiwa site huwa nafika wakati wowote sina muda maalum kiunoni nikiwa na tape measure yangu nikifika nawapa hai mara baada ya mazungumzo mbili tatu na vuta tape
 
Mafundi wakiwa site huwa nafika wakati wowote sina muda maalum kiunoni nikiwa na tape measure yangu nikifika nawapa hai mara baada ya mazungumzo mbili tatu na vuta tape

Unavuta tape wakati mjengo ushajengwa [emoji28]vuta tape kwenye msingi ndio kila kitu then unakuja kuvuta tape kwenye milango na madirisha baada ya hapo baba jeni bai bai,sasa jichanganye uvute tape mjengo tayari umesimama utajua hujui
 
nazungumzia hatua zote za ujenzi mzee acha kukurupuka kuanzia msingi,boma hadi kupaua kutokana na vipimo vya ramani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…