Mbao Tanzania
Senior Member
- May 31, 2021
- 170
- 215
- Thread starter
-
- #41
Utatoboa kaka kama nia ipo. Hata hivyo ukiweza kuishi bila kujali mitazamo ya wengine utafurahia maisha. Kama bati za kawaida zitafanya maisha yako yawe mepesi weka tu hizo hizo halafu ndani unaweka gypsum board ya maana!Nimepanga kupaua mjengo kwa bati ya msouth Versatile, nimeshapeleka mafundi wa kupaua watatu tofauti kupima na kufanya estimation ya gharama za material + ufundi, estimation zao hazipishani average ni = 17M...
Kwamba hawakutaka kuona unapiga hatua za kimaisha kupitia pato lako? Kazi gani hiyo ilikuwa mkuu au kiwandani wakahisi unawaibia? tehMimi nilikuwa naenda site kila jumapili jioni,kumbe bhana kuna watu wakaniona na wakaja kumwambia bosi wangu kuwa najenga,dah!yani haka kajumba kalinitesa sana na bado nusu nifukuzwe kazi,hyo nazungumzia miaka 6 iliyopita.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Ganji sana yaani!Mimi nilikuwa naenda site kila jumapili jioni,kumbe bhana kuna watu wakaniona na wakaja kumwambia bosi wangu kuwa najenga,dah!yani haka kajumba kalinitesa sana na bado nusu nifukuzwe kazi,hyo nazungumzia miaka 6 iliyopita.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Naimani ukiweka kufaulu mbele utatoboa sabab kila kitu kwenye haya maisha kipo ndani ya uwezo wetu so nikuamua sababu unaweza mimi nakuaminiNimepanga kupaua mjengo kwa bati ya msouth Versatile, nimeshapeleka mafundi wa kupaua watatu tofauti kupima na kufanya estimation ya gharama za material + ufundi, estimation zao hazipishani average ni = 17M...
Safi [emoji28]Nashukuru kwa uahauri wacha nipambane mpaka tone la mwisho kumweka msouth vigae. Nitakapokwamia nitamalizia na mgongo mpana [emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] daa mm naendaga kucheck kokote na tofari maana unaweza kuta vumbi wakiiba ila mawe,michanga sio rahisi kuibwaMm bado nimeweka mawe site... Yan huwaa naenda kila wikend utadhani naenda kuangalia mgonjwa afu nasepaa [emoji2]
Hivi matofali yanaweza kukaa muda gani kabla ya kujengwa? Maanake kuna nyumba naziona zimeachwa mpaka matofali yanaanza kulika.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] daa mm naendaga kucheck kokote na tofari maana unaweza kuta vumbi wakiiba ila mawe,michanga sio rahisi kuibwa
Inategemeana na udongo uliotumika kufyatulia,kama ni ule mfinyanzi mweusi yakichomwa yanakuwa mekundu au meupe hizo tofari hata zikikaa miaka 20 bado hakuna tatizo haziathiriwi na mvua wala nini.Hivi matofali yanaweza kukaa muda gani kabla ya kujengwa? Maanake kuna nyumba naziona zimeachwa mpaka matofali yanaanza kulika.
Nauliza hizi sa saruji na mchanga.Inategemeana na udongo uliotumika kufyatulia,kama ni ule mfinyanzi mweusi yakichomwa yanakuwa mekundu au meupe hizo tofari hata zikikaa miaka 20 bado hakuna tatizo haziathiriwi na mvua wala nini...
Sina uzoefu nazo sana but kama zilikuwa compact wakati zinafyatuliwa na ziko sehemu salama sidhani kama zina shida yoyote maana saruji na maji ni marafiki wazuri,jua na upepo zina athari olmost negligibleNauliza hizi sa saruji na mchanga.
Kuta kupanda inakuwaje sijaelewaMimi nilishakuwa nimeandaa madirisha yangu na milango ya nyumba nzima kabla sijaanza ujenzi, na kumpa fundi vipimo vyake, walipoanza walikosea ukubw akidogo ila sababu kila jioni ninaenda nikawa ninajua mapema tukairekebisha kabla ya kuta kuanza kupanda, hilo moja ninalokumbuka kwa haraka.
Witness, umejaaliwa
Mkuu, Vipi kuhusu "Interlocking bricks" naomba kujua kama una uzoefu nazo kwa maeneo ya Mbeya?Inategemeana na udongo uliotumika kufyatulia,kama ni ule mfinyanzi mweusi yakichomwa yanakuwa mekundu au meupe hizo tofari hata zikikaa miaka 20 bado hakuna tatizo haziathiriwi na mvua wala nini...
Sina uzoefu nazo lakini naona zinatumika na zinapendeza kwenye kweli,pia ni ngumu maana zinatengenezwa kwa udongo maalum,Mchanga kiasi na cement yaani ni aina ya blocks isipokuwa hizi zinatumia udongo,Mchanga na cement kiasi.Mkuu, Vipi kuhusu "Interlocking bricks" naomba kujua kama una uzoefu nazo kwa maeneo ya Mbeya?