K A B U R U
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 891
- 1,199
Kutoka Dom treni ya kwanza saa 11:15 alfajiri halafu baada ya hapo kuna moja ya kitajiri saa 2 asubuhi ambayo haiendani na uwezo wa wateja, mara nyingi haijai except peak demand. Utasubiri mpaka saa nane ndio upate ordinary train.
Swali langu ni kwa nini kusiwe na ordinary train kwenye saa 1 au 3 au 5 asubuhi? Kwa Nini nasema hivi? Kwanza mabasi mengi toka Kanda ya ziwa yanakuwa yanaingia Dom asubuhi hivyo soko lipo. Pili tupunguze msongamano wa magari toka Dom to DAR.
Tatu tupunguze ajali za barabarani. Nne, tupunguze mateso ya abiria kusafiri muda mrefu barabarani. Tano tuwe na ratiba rafiki ukifika Dar uendelee na ratiba zako ingali mapema. Sita tutumie ipasavyo Kodi yetu iliyotumika kununua treni zisizotumika na kupaki Bure pale Pugu, Soga na Ruvu. Sijui Kadogosa atanisikia!