Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 6,941 Reaction score 7,808 Nov 21, 2022 #2 Unauza Bima ama unauza gari! Hakuna details muhimu, sijui imetembea km laki 3! Sijui ni model ya mwaka 1980! Alafu anatuambia haijaguswa popote! Hiyo ni urembo. Mimi24 said: Habari wakuu nipo na hii Raum ya cc1400, Bima (Comprehensive), Reg,No(DZU) , haijaguswa popote na mpya sana…nauza kwa Tsh 12.5M . Location Dar-es-Salaam . Mawasiliano:- 0769463336 View attachment 2421570 View attachment 2421572 View attachment 2421573 Click to expand...
Unauza Bima ama unauza gari! Hakuna details muhimu, sijui imetembea km laki 3! Sijui ni model ya mwaka 1980! Alafu anatuambia haijaguswa popote! Hiyo ni urembo. Mimi24 said: Habari wakuu nipo na hii Raum ya cc1400, Bima (Comprehensive), Reg,No(DZU) , haijaguswa popote na mpya sana…nauza kwa Tsh 12.5M . Location Dar-es-Salaam . Mawasiliano:- 0769463336 View attachment 2421570 View attachment 2421572 View attachment 2421573 Click to expand...
libeva JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 4,465 Reaction score 3,615 Nov 21, 2022 #3 Raum bado mbichi kabisa
shatisuruali JF-Expert Member Joined Jul 28, 2016 Posts 921 Reaction score 2,842 Nov 21, 2022 #4 Ikifika 9 nalipa
MWANDENDEULE JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 4,099 Reaction score 7,466 Nov 21, 2022 #5 Kachombo kazuri kwa misele