Car4Sale Raum ya kujikinga na jua iko sokoni

Daaah!!! Cold [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
 
Huu mkangafu nitakupa 2m mzee.
 
Hii sio ya Kuuza Mkuu, hii unatia sadaka tu.
Sio kila kitu lazima Urudishe hela. Hii ni kuhendekeza umaskini.

Mpe mtu akaitengeneze kwa 2M ajikinge na jua
 
Hii sio ya Kuuza Mkuu, hii unatia sadaka tu.
Sio kila kitu lazima Urudishe hela. Hii ni kuhendekeza umaskini.

Mpe mtu akaitengeneze kwa 2M ajikinge na jua
Namshukuru Mwenyezi Mungu Nilifanikiwa Kuuza🙏🏾Sifa Njema Zote Anastahiki Yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…