Jerusalem2006
Senior Member
- Apr 19, 2020
- 143
- 626
Toyota Rav 4 namba T.. DTT, iliyoingia nchini July mwaka juzi (2020), inauzwa kwa bei ya shilingi milioni 25, bei inapoa kidogo. Haijawahi kupata mzinga wowote wala tatizo lolote. Haijawahi hata kuchubuka popote, ipo Dar-es-salaam. Sababu ya kuuzwa nimebadili gari kwahiyo hii inakaa ndani tu, bora kuiuza tu. Kama unaihitaji usisite kunicheki namba 0655113290. Simu au whatsapp. Naambatanisha picha na video.