RAV 4 Adventure 2019 ni gari inayokupa uhuru wa nafsi wakati wa kuitumia

Binafsi nilivyoiona kwa mara ya kwanza sikuipenda, niliona kama walichemka kwenye design ukilinganisha na rav 3, lkn siku zinavyozidi kwenda naanza kuizoea hiyo design.
 
Kila drsign mpya inayokuja inakua mbaya kuliko ya zamani yapo wanasifia mifumo yake hasa ya kielectronic nk! But ulimwengu wadesign za magari unazidi kufa
 
sasa hii ya sasa si bora kuliko iliopita
meku
 
Ada ya Tangazo vipi? @Maxence
 
Binafsi nilivyoiona kwa mara ya kwanza sikuipenda, niliona kama walichemka kwenye design ukilinganisha na rav 3, lkn siku zinavyozidi kwenda naanza kuizoea hiyo design.
Mwambie jiwe akuhonge hiyo gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…