Onyesha picha zingine mbona unakuwa Kama tapeli weweGari aina ya Rav 4 miss Tanzania inauzwa. Ipo Mbeya. Namba DCV. Imesimama sana.
Mileage: 177000
Sababu za kuuza: Nimebadilisha gari
Mmiliki: Mimi mwenyewe.
Bei 16m.
Mawasiliano : 0710613913 | 0764615124.View attachment 2068954View attachment 2068956
Poa mkuuUtapeli gan mzee? Natuma chief...
Dunia ina mambo!Niuzie control box pamoja na power windows zake pamoja na side mirror mkuu maana kuna gar hivyo vitu vimeibiwa naomba niuzie
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu... Hii siwezi kuichinja mkuu. Nikipata mtu amechinja na anauza nitakujulisha.Niuzie control box pamoja na power windows zake pamoja na side mirror mkuu maana kuna gar hivyo vitu vimeibiwa naomba niuzie
Sent using Jamii Forums mobile app
Una sh ngapi?Niuzie control box pamoja na power windows zake pamoja na side mirror mkuu maana kuna gar hivyo vitu vimeibiwa naomba niuzie
Sent using Jamii Forums mobile app
Niuzie control box pamoja na power windows zake pamoja na side mirror mkuu maana kuna gar hivyo vitu vimeibiwa naomba niuzie
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari pamoja na mmiliki ni hovyo sanaGari imetoka service tayar kwa safar popote nchini... Una Km 3000 kuzitumia kwa mnunuzi... Ni kuwasha na kuondoka. Karibuni sana.View attachment 2069840View attachment 2069842View attachment 2069843View attachment 2069844View attachment 2069845View attachment 2069846
Kiukweli nimekupenda mkuu hauna panic... hii ndo JF....Shukrani boss
Poa mkuu. Will check you.Shukrani mkuu...
We can discuss boss... Karibu kwa mawasiliano 0710 613 913 | 0764615124