Hizo zote ni compact crossover tena toka kwenye kampuni moja japo rush inatoka kampuni dada wa toyota daihatsu, crossover zinajengwa juu ya chesis zenye sifa za crossover ila sio sifa ya SUV wala off road hivyo usitegemee makubwa ukiwa off road, kingine crossover zote are not going cheap sababu kuu huwa ni gharama za kuundwa cha msingi zingatia bajeti yako, zinatia tu ubora wa gari utakayoipata, inshort ni gari zinazofanana