Car4Sale Rav 4 Kill time 8.5 mil only

BAGAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
4,523
Reaction score
1,060
Habari wadau, nauza gari yangu Rav 4 Kill time, iko kwenye hali nzuri na unaweza kuiona wakati wowote. Kwa mawasiliano nichek 0713339910 (wanaohitaji kweli)

Manufactured - 2000
Engine size 1998
5 doors

 
Mkuu umeweza weka namba ya simu umeshindwa weka namba ya gari?
Sorry picha nilituma niliruka yenye namba ya gari, hata hivyo kwa mtu kama ni mnunuaji hangeshindwa kupata namba ya gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…