Car4Sale RAV 4 milango 5, Inauzwa 6.5 Milioni

Family_hammer

Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
29
Reaction score
11
Toyota RAV 4 ya mwaka 1995 inauzwa, milango mitano Engine capacity ni 1998, imetembea KM 160926.

Bei ni Shilingi Milioni sita na laki tano tu (6,500,000/=) . Ipo Dar-es-Salaam. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0713 629 999










 
Reactions: rr4
Namba ya simu imekosewa hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…