Rav 4 new model vs Vanguard

Ok,sina uhakika sana kwa hilo. Lakini yawezekana. Ila nyingi mlango wake hakuna sehem za kuweka Tairi. Na inatajwa ilifanyika kwa makusudi,kwa maana zina mfumo fulani wa kujaza upepo tairi iliyopata pancha,ila sijafanya utafiti how au kama ni kweli.

Vanguard ilitengenezwa mahsusi kwa ajili ya soko la Ulaya na Marekani. Kule magari mengi sana hasa haya yanayotoka siku hizi hayana spare tire kwa sababu matairi yao mengi ni Run flat tires, yaani ni zile tre ambazo ziko either enhanced kiasi kwamba hata ikitokea umepata burst or puncture unaweza kuendelea na safari kwa umbali wa karibu na Km 80, wakiassume hapo lazima utakuwa umeshafika sehemu ya kuweza kulishughulikia tairi lako. Hiyo ndio sababu.
Picha za run flat tires jinsi zilivyowezeshwa.

 
Kakaa ukijua vaguard ni mbadala wa rav 4 kwa mujibu wa toyota!! Wamestop kutengeneza rav 4 nw wame focus kwenye vaguard!!
Hapana Vanguard ni Harrier version.. Kila kitu mpaka engine size na model zinafanana. Tafauti ni maumbo ya nje tu
 
Hapana Vanguard ni Harrier version.. Kila kitu mpaka engine size na model zinafanana. Tafauti ni maumbo ya nje tu
Mimi nakubaliana na Femus,kwamba ni replica ya RAV4 kwa Europe na US,kwani Replica ya Harrier huwa ni RX 300 Lexus!
 
Hapana Vanguard ni Harrier version.. Kila kitu mpaka engine size na model zinafanana. Tafauti ni maumbo ya nje tu
No nakataa Vanguard ni tofauti na Harrier kabisa zinafanana engine tu (2AZ Fe) but RAV4 model ya 2006-2012 inafanana kila kitu na Vanguard tofauti ni kuwa RAV4 ni 5 seater na Vanguard ni 7 seater basi yaani Vanguard ni kubwa kidogo kuliko RAV4. Harrier ni kitu kingine tofauti.
 
Ni kweli tupu.
 
Toyota Rush ni Model ya juu ya Toyota Cami. wala haihusiani na RAV 4 . baada ya matoleo kadhaa ya Toyota Cami ndipo wakaja kutoa Toyota Rush.. so hii ni Generation ya Toyota CAMI na si Rav 4
 
Mwenye kujua bamper la shaba kwa Rav 4 2011 linacost kiasi gani anijuze.
 

Sio vanguard zote ni 7 seater ila ni ndefu kuliko rav 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…