Wewe ndio mnunuzi?Wakuu habari, inahitajika gari aina ya Rav 4 Old Model,iwe Long chassis ama short chassis, kuanzia Namba B
BAJETI: Tsh 7,000,000 (Milioni 7).
Iwe katika good condition! Location ni Dsm. Kwa yeyote mwenye kuwa nayo tafadhali piga simu namba hii 0755 401 084.
Uwe tayari ikaguliwe na fundi.
Shukrani!
Habari chief,Ulifanikiwa kupata hii gariNdiyo, unayo? Piga simu! Iko ubaoni
Na mimi nahitaji hii boss mimi ndiye mnunuziWewe ndio mnunuzi?
Unaweza kupata ila ikawa choka mbaya, spana mkononi.Ipo million 4 sipati Rav 4?