Rav 4 vs Vanguard na Kruger vs Harrier ndo kazi ipo hapa

Rav 4 vs Vanguard na Kruger vs Harrier ndo kazi ipo hapa

Guru Guja

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
217
Reaction score
285
Nina Rav 4 ile nafanana na Vanguard shida yake moja, haina comfortable kwenye mashimo.

Yaani ukiendesa barabarani hata shimo dogo tu utasikia inadunda. Je ukifananania na Vanguard kuna tofauti gani?

Lakini pia nina Harrier nyeusi nataka kujua tofauti yake na Kluger kwa kuwa comfortable na kwenye mashimo maana hii Harrier sioni sana kama comfortable kwenye mashimo.

Nina X5 hii kwenye masimo ipo vizuri husikii ikiumia inanesa nesa sana. Sasa hii natumia mara moja moja sababu ya mafundi kuniambia shida sana spares zake.

Kati ya Vanguard na Kluger ukilinganisha na Rav 5 na Harrier zipi ni bora kwenye barabara yenye mashimo?
 
Back
Top Bottom