niliipost humu ukitafuta utaiona mpaka picha
Mkuu bado hiyo?? nataka kuiona weka contact yako au nipigie 0719 757 700Mimi nauuza Rav4 ya mwaka 1998 silver colour, 5 doors ,manual transmission, price ni 7.5 mil.
Wewe kakwmbia nani hakuna rv4 ya 2001??zipo kuanzia 2000-3!show room m20, mi nnayo m10 tu ila rav4 old model hakuna ya miaka uliyo taja zote ni za 1995, 1997, 1998. zidi kujifunza