Sasa unataka sisi tuisaidie gari yako kunywa mafuta au oil?
Cheki hii thread mkuu.kujua tatizo la kunywa sana mafuta ....
sawa kiongozi
Samahani sana mkuu mimi sio mtaalam wa hayo mambo isipokua niliwahi kupatwa na hilo tatizo la kuilalamikia gari kuhsu ulaji mbaya wa mafuta ila baadae nikagundua kuwa Kuna baadhi ya lav4 hususani zile za UK huwa zinasoma maili badala ya kilometa kama tulivyozoea hivyo jalibu kuliangalia hilo kwanza yaweza kuwa ni sababu kuwa unaposema nimetembea kilometa 5 kumbe ulitakiwa ufanye 5 x 1.6 = 8 hapo ungebaini kuwa umetembea km 8 swala ambalo ni la kawaida kwa lav4.Naonbeni msaada viongozi ... hii gari jana imetokea tu ghafla na kuanza kubugia mafuta balaa ... na hiyo hiyo jana ilikuwa engine inavujisha oil ndio tukafungua oil seal na kubadili ... sasa hili la kunywa sana mafuta ndio limenishtua wakuu ... na kabla ya jana ilikuwa iko vizuri sana kwa unywaji wa mafuta ....
Msaada Wakuu .....
na inatoa moshi mweupe, je tatizo linaweza kuwa nn kiongozi ???sawa kiongozi