Rav4 2001 kukosa nguvu

Rav4 2001 kukosa nguvu

Ntozi

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2021
Posts
226
Reaction score
300
Naombeni ushauri juu ya hii gari.

Ukikanyaga accelerater kwa nguvu inakuwa kama imeziba exhaust na kisha ghafla huzibuka.Hapo inabidi ukanyage mafuta taratibu sana ndipo safari iendelee.Inasababishwa na nini ndugu wataalam?
 
Naombeni ushauri juu ya hii gari.ukikanyaga accelerater kwa nguvu inakuwa kama imeziba exhaust na kisha ghafla huzibuka.Hapo inabidi ukanyage mafuta taratibu sana ndipo safari iendelee.Inasababishwa na nini ndugu wataalam?

Engine gani?

Hii ni Rav 4 ya tatu naiona inafanya hivyo.... Na zote ni kilitime....
 
Naombeni ushauri juu ya hii gari.ukikanyaga accelerater kwa nguvu inakuwa kama imeziba exhaust na kisha ghafla huzibuka.Hapo inabidi ukanyage mafuta taratibu sana ndipo safari iendelee.Inasababishwa na nini ndugu wataalam?
Mkuu Ukipata utatuzi wa hili tatizo usisahau kuleta mrejesho.
Hii forum ni elimu kwa wengi
 
Hello
Nilikutana na tatizo kama hilo
(Gari ilikuwa inasinzia hasa ukipata ki mwinuko hata kidogo)
Fundi amishauli tubadili
Fuel pump
Na kweli baada ya kufungwa pump mpya ilikaa sawa.
Pamoja na vyote utavyoangalia
Msiache kukagua fuel pump pia
 
Asante sana kwa ushauri mkuu
 
Back
Top Bottom