Naombeni ushauri juu ya hii gari.ukikanyaga accelerater kwa nguvu inakuwa kama imeziba exhaust na kisha ghafla huzibuka.Hapo inabidi ukanyage mafuta taratibu sana ndipo safari iendelee.Inasababishwa na nini ndugu wataalam?
Mkuu Ukipata utatuzi wa hili tatizo usisahau kuleta mrejesho.Naombeni ushauri juu ya hii gari.ukikanyaga accelerater kwa nguvu inakuwa kama imeziba exhaust na kisha ghafla huzibuka.Hapo inabidi ukanyage mafuta taratibu sana ndipo safari iendelee.Inasababishwa na nini ndugu wataalam?
[emoji85][emoji85][emoji85]....naiona Bentley hapa..Unaendesha gari ya enzi za Yesu!
Asante sana kwa ushauri mkuuHello
Nilikutana na tatizo kama hilo
(Gari ilikuwa inasinzia hasa ukipata ki mwinuko hata kidogo)
Fundi amishauli tubadili
Fuel pump
Na kweli baada ya kufungwa pump mpya ilikaa sawa.
Pamoja na vyote utavyoangalia
Msiache kukagua fuel pump pia