Car4Sale Rav4 inauzwa

Car4Sale Rav4 inauzwa

Kikombo

Member
Joined
Jun 29, 2012
Posts
60
Reaction score
48
Gari rav4 inauzwa, kwa anayehitaji tuwasiliane kwa taarifa zaidi, muuzaji anapatikana kwa 0784287546. (Only for serious buyer)
0c3b066f32a78073645e1947a16770fc.jpg
ecf1df70cb330596293596a6900cf01b.jpg
878decac70eea2033e9b61e752bf9cf0.jpg
52b95b7cd1a281f184c9b3e4ebbc6645.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, Elezea zaidi. Ni Automatic au Manual, vipi kuhusu Mileage ? Ni vema ukaweka na bei hata ya kuanzia. Wengine ni wagumu wa kupiga piga simu. Ila ukiona hapa kila kitu inarahisisha kufanya maamuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara za madalali ni ngumu mno asee
 
Na iko wapi? Makambako, Lushoto...
 
Back
Top Bottom